UNDERGROUND SOUND ANTICIPATION

A WAY TO ACHIVEMENTS!

OUR AIMS

HELP GIVING THE UNDEGROUND MUCISIANS A WAY TO ACHIVEMENTS!

CONTACTS

SHARE YOUR MUSIC AN IDES WITH US.

AVERTISE YOUR BUSINESS HERE

SPONSOR THIS PROJECT.

TOGETHER WE CAN

Help us gain more fans by sharing this blog.

Thursday, May 7, 2015

New Song | Suma Smile - Ajibebe

Hii ni mpya kabisa, kutoka kwa msanii chipukizi Suma Smile kutoka kanda ya ziwa ambaye kwa sasa anaishi jijini Dar.
Track inaitwa Ajibebe
Producer: Aninywele
Studio: Rock town Records Mwanza
Genre: Afro pop
Sikiliza, download na pia share kwa marafiki.

Saturday, November 23, 2013

J. SWISS the trap master!!!

Huyu ni producer mkali wa beats za kisasa aina ya "TRAP" kutokea kaskazini Mo Town Moshi Kilimanjaro. Lex luger ni moja kat ya maproducer wachache duniani wenye ujanja wa kuchonga mikito kama hiyo.
Kwa Tanzania sasa tunae J. SWISS.... almasi ambayo bado ipo mchangani. Underground Sound Anticipation imefanya mawasiliano nae, soon tutapata kusikia sample za mikito anayopika.... stay online kwa info zaid.

Wednesday, November 13, 2013

VICHWA VIKALI USIPIME - USIDROP JIPE HOPE

HIVI JUZI TULITOA AHADI  YA KUWEKA NGOMA YA HAWA MAJAMAA, SHUKRANI KWA UVUMILIVU WENU NA SUBIRA. SASA MZIGO HUU  HAPA!


ARTIST: VICHWA VIKALI USIPIME
SONG: USIDROP JIPE HOPE
GENRE: RAP/HIP HOP
STUDIO: 14 RECORDS
PRODUCER: NGOI KAZI na MOGELA

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD!!

Tuesday, November 12, 2013

Mike alone - Nimempenda

ARTIST: MIKE ALONE
SONG: NIMEPENDA
GENRE: AFRO POP
STUDIO: NATAL RECORDS
PRODUCER : ABBAH PROCESS

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD!!

Sunday, November 10, 2013

VICHWA VIKALI USIPIME


Hili ni kundi lililoasisiwa na muasisi wa Studio KAZI Ngoi kazi lengo ikiwa ni kuleta changamoto zaidi kwenye muziki wa hip hop Tanzania, Afrika mashariki na dunian kwa ujumla. Kkundi hil linaundwa na wasanii watatu OLD STREET, CHRISTOM STAFF, na MYSTIC BOHAR.
Leo linazindua ngoma yake ya kwanza inaitwa USIDROP JIPE HOPE iliyoandaliwa na Ngoi kazi wa Studio kazi. na kurekodiwa 14 record na Dominik and Mogela. Ngoma yao hiib itakuwa online kuanzia kesho tayari kuwafikia watanzania.
Kutoka kushoto ni Ngoi Kazi, Christom Staff, Mystic Bohar na Old street wakiwa 14 recods.


SELAA YOUNG ROCKER - RAMANI

Ngoma kutoka kwa msanii Selaa YoungRocker.
aliwahi kushiriki katika mashindano ya mitindo huru (freestyle) ya nokia na kufanya vizuri katika kuiwalikisha hip hop. Sikiliza hapa track yake na download pia, share kwa marafiki pia.
Hapa akiwa on stage katika mashindano ya Nokia.

Selaa YoungRocker hapa katika pozi.














ARTIST: SELAA YOUNG ROCKER
SONG: RAMANI
GENRE: HIP HOP/ RAP
PRODUCER: JD n PAUL THE GENIUS
STUDIO: STREETWISE PRODUCTION


BOFYA HAPA KUDOWNLOAD!!

Friday, November 8, 2013

ALBIZLE ft JAX MENTALI - SINA RAHA

Here comes the South West Kid Albizle all the way form Moshi Town, Soweto woth a track to his baby..
listen, download and share. please invite more frineds!
Clik here to download! bofya hapa kudownload!


ARTIST: ALBIZLE
COTRIBUITING ARTIST: JAX MENTALI
SONG: SINA RAHA
GENRE: HIP HOP
STUDIO: SOUTH WEST RECORDS