Huyu ni producer mkali wa beats za kisasa aina ya "TRAP" kutokea kaskazini Mo Town Moshi Kilimanjaro. Lex luger ni moja kat ya maproducer wachache duniani wenye ujanja wa kuchonga mikito kama hiyo.
Kwa Tanzania sasa tunae J. SWISS.... almasi ambayo bado ipo mchangani. Underground Sound Anticipation imefanya mawasiliano nae, soon tutapata kusikia sample za mikito anayopika.... stay online kwa info zaid.
Saturday, November 23, 2013
J. SWISS the trap master!!!
7:55 AM
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment