Hili ni kundi lililoasisiwa na muasisi wa Studio KAZI Ngoi kazi lengo ikiwa ni kuleta changamoto zaidi kwenye muziki wa hip hop Tanzania, Afrika mashariki na dunian kwa ujumla. Kkundi hil linaundwa na wasanii watatu OLD STREET, CHRISTOM STAFF, na MYSTIC BOHAR.
Leo linazindua ngoma yake ya kwanza inaitwa USIDROP JIPE HOPE iliyoandaliwa na Ngoi kazi wa Studio kazi. na kurekodiwa 14 record na Dominik and Mogela. Ngoma yao hiib itakuwa online kuanzia kesho tayari kuwafikia watanzania.
![]() |
Kutoka kushoto ni Ngoi Kazi, Christom Staff, Mystic Bohar na Old street wakiwa 14 recods. |
0 comments:
Post a Comment